92hardware ni wauzaji wa jumla na rejareja wa vifaa mbalimbali vya ujenzi.  Sisi tunachukua bidhaa moja kwa moja kutoka kiwandani kwa  wazalishaji hivyo tunauza bidhaa zenye ubora na imara kwa ujenzi

Kampuni ya 92 Hardwares Ltd ni wataalam wa kuagiza na kusambaza vifaa vya ujenzi kutoka nchi za nje na pia vinavyotengenezwa na viwanda vya hapa nchini Tanzania.

  • Mabati aina zote
  • Nondo size zote
  • Simenti
  • Rangi aina zote
  •  

Kwa Mahitaji ya vifaa bora vya ujenzi wasiliana na 92 Hardwares Ltd kwa anuani zifuatazo

92hardwares Ltd

Buguruni

Email: info@92hardware.co.tz

Mobile:

+255 754 350 315

+255 786 350 315

+255 764 350 315

Jipatie vifaa vya ujenzi kwa bei nafuu katika matawi yetu mbali

92 Hardwares Limited ina matawi manne hapa nchini Tanzania

  • Tawi la Buguruni (HQ) - Dar es Salaam
  • Tawi la Morogoro
  • Tawi la Njombe
  • Tawi la Makambako - Njombe
  • Tawi la Kinyerezi - Dar es Salaam

 

Copyright © 2016 92hardware. All rights reserved

Designed & Developed by JointaSoft